Ukurasa wa nyumbani
 Katika utendaji




Tafsiri:

'العربية / al-ʿarabīyah
Bahasa Indonesia
Català
中文 / Zhōngwén
Deutsch
English
Español
Ewe
Filipino/Tagalog
Français
Galego
Ελληνικά / Elliniká
हिन्दी / hindī
Italiano
日本語 / Nihongo
Kiswahili
नेपाली / Nepālī
Polszczyzna
Português
Română
Русский
Српски / Srpski
ไทย / Thai
Türkçe
اردو / Urdu
Èdè Yorùbá

                                        

Kurasa zengine:

Visomo

Ramani ya tovuti

Maneno muhimu

Wasiliana nasi

Nyaraka za matumizi

Tovuti zinazohusiana

UFUATILIAJI

Kuwa waangalifu wa tunapoelekea

na Phil Bartle, PhD

imetafsiriwa na Lillian Odembo Naka


Kifafanuzi cha mafunzo

Kitu ambacho huwa hakitiliwi maanani katika miradi,iwapo twataka kutimiza malengo yetu basi twahitajika kuona tunapoelekea

Hapo awali, ilibainika kuwa ufuatiliaji ni muhimu,na unafaa kujumuishwa katika mpangilio wa mradi.Ni muhimu kuhakikisha kwamba ufuatiliaji unatendeka.

Ufuatiliaji ni muhimu kama kitendo chenyewe kinacho fuatiliwa. Tazama waraka wa mafunzo:"Ufuatiliaji."

Wakumbuka jinsi ya kuendesha baisikeli? kama kitendo ni kuvurumisha gurudumu, basi kuangalia unapokwenda (ufuatiliaji)ni muhimu pia, kama hutaki kuanguka au kwenda nje ya barabara. Waweza kusema kuwa watu wanaoufanyia kazi mradi wanaona kinachoendelea, lakini hiyo haitoshi.

Kwa ujumla, mwendeshaji baisikeli ndiye anayeiendesha baisikeli hiyo na si macho yake pekee.Macho lazima yatume ujumbe kwenye ubongo au akili kisha ujumbe huo unatumwa kwenye viungo vingine vya mwili. Watu tofauti wanafanya kazi katika mradi huo kwa njia tofauti na kwa wakati tofauti, lakini jamii nzima (na wafadhili) lazima wajue kinachoendelea.

Mradi unapoendelea, ni jukumu lako kama muhudumu wa jamii kuwakumbusha viongozi kwamba ufuatiliaji ni kitengo muhimu katika mpangilio wa mradi na lazima utendeke.

––»«––

Ukadirifu na Ufuatiliaji wa jamii:


Ukadirifu na Ufuatiliaji wa jamii:

© Hakimiliki 1967, 1987, 2007 Phil Bartle
Web Design: Lourdes Sada
––»«––
Imeratibishwa mwisho: 11.11.2011

 Ukurasa wa nyumbani

 Katika utendaji