Ukurasa wa nyumbani
Tuanze mada




Tafsiri:

'العربية / al-ʿarabīyah
Bahasa Indonesia
Български език
Català
中文 / Zhōngwén
Deutsch
English
Español
Euskara
Ewe
Filipino/Tagalog
Français
Galego
Ελληνικά / Elliniká
हिन्दी / hindī
Italiano
日本語 / Nihongo
Kiswahili
한국어 / Hangugeo
بهاس ملايو / Bahasa Melayu
Português
Română
>తెలుగు /Telugu
ไทย / Thai
Türkçe
اردو / Urdu

                                        

Kurasa nyingine:

Visomo

Ramani ya tovuti

Maneno muhimu

Wasiliana nasi

Nyaraka za matumizi

Tovuti zinazohusiana

KUPANGA UMOJA

Ilete Jumuia yote Pamoja

Na Phil Bartle, PhD

imetafsiriwa na Jacob Lisakafu


Training Handout

Kwa hali ya "kawaida" kila jumuia ina aina mbali mbali za utengano wa kijamii

Umeona mwanzo lazima uwakikishe wanawake wanaudhuria mikutano ya jamii unayoitisha (isipokuwa:Jumuia zisizopenda mabadiliko za kislamu).

Pia : walemavu, vijana, wazee, watu dhahifu, wenye tabia mbaya,watu waliotengwa, wanaoona haya na wastahafu. Hii ni sehemu ya mikakati yako ya kuiunganisha jamuia.

Angalia Kupanga umoja. Kila jamuia inamvutano wa kuvuta kuelekea nje.

Hii inatokana na tofauti katika ukoo, ukabila, dini, matabaka, jinsia, umri,elimu, nguvu na uwezo wa akili, hajira,kipato, utajiri, umiliki wa ardhi (mwenye ardhi, mpangaji, mvamizi wa ardhi na wengineo) na mambo mengine ambayo yanaganwanya wananchi. Angalia Kutengana kwa Jamii.

Ni muhimu kama muamashishaji, utaangaliwa kama haupo upande wowote. (Kama refa), haupo upande wowote au kupendelea upande wowote.

Hii maana yake ni lazima Uijue jumuia kiundani zaidi. Kama utatumia muda mwingi na baadhi ya watu, watu wengine watafikiria unapendelea upande mmoja.

Usiogope kwenye watu wengi kuchangua vikundi tofauti katika jamii, lakini kwa haraka lazima usema haupendelei upande wowote au kikundi chochote.

Kumbuka, tena,hauna lengo la kuweka jumuia ifanane (wote kuwa pamoja), lakini ni umoja wa jumuia maana yake vikundi vyote vina nafasi sawa kwa jamii zote na katika mazingira ya kuvumiliana, watu wote waelewane na kuheshimiana kila mmoja,kwa kidini,matabaka, ukoo, jinsia, uwezo,makabila, lugha, au umri.

Kuinganisha jumuia ni mwanzo wa kuitambua jumuia moja matatizo yao ya msingi na malengo yao.

––»«––

Uchangiaji wa jumuia:


Kuchangia chakula kwa wafanyakazi

Ukiiga kutoka kwa tovuti hii, tafadhali muungame mwandishi)
na uiambatanishe kwa cec.vcn.bc.ca/cmp/

© Hakimiliki 1967, 1987, 2007 Phil Bartle
Web Design: Lourdes Sada
––»«––
Imeratibishwa mwisho: 12.11.2011

 Ukurasa wa nyumbani

 Tuanze mada