Tweet Tafsiri:
'العربية / Al-ʿarabīyah |
KIKAO CHA KUCHANGIA MAWAZOna Phil Bartle, PhDimetafsiriwa na Lillian Odembo NakaUtangulizi wa kisomo (kitovu)Nyaraka zinazopatikana hapa Kuchangia mawazo Kisomo
Uamuzi wa pamoja wenye muundoKikao cha kuchangia mwazo ni uelimishaji wa aina yake. Kando na mifumo ya uelimishaji ya kiothodoxi, nia yake sio kupeana habari au ujuzi; nia yake ni kwa kundi la washiriki kufanya uamuzi wa pamoja. Ni sehemu moja kwenye harakati ya kuimarisha uwezo,utakao pelekea kupangwa kwa (1)kufanya maamuzi na kwa (2)kitendo. (Ni dhahiri kuwa msahalishi na washiriki watajifunza mengi kutokana na kikao hicho). Katika kisomo hiki, nyaraka zimetengwa katika kurasa tofauti za tovuti hii. Kwenye maneno muhimu, tazama "Kuchangia mawazo." Tazama pia Kuchangia mawazo katika Aidworkers' Net.––»«––Kikao cha kuchangia mawazo: Ukinakili
kutoka kwa tovuti hii, tafadhali muungame mwandishi |
Ukurasa wa nyumbani |