Tafsiri:
|
Viungo vya maneno yanayoanza na herufi :
MANENO MUHIMU
Mtafsire: Alpha Mukama, Abdulrazzaq Adam Otieno
Hii sio maana ya maneno haya, ila ni nitisi zinazoendana na kuongezea uwezo nchi jamii zenye kipato cha chini. Yanaelekezwa kwanza kwenye jamii, lakini pia kwa wana mipango wa jamii, wafanya kazi, wasomi, wanafunzi, watafiti, wanaushirika, mameneja na watawala ambao wanahusika na kuondoa umasikini na maendeleo endelevu katika jamii.
kama ilivyo kwa waraka za kufundishia katika ukurasa huu, unakaribishwa kuchukua, na kuchapicha waraka hizi au hata kutafsiri katika lugha yako. Usinakili na kusema ni waraka wako, tafadhali onyesha umetoa wapi. Maneno yamewekwa katika alfabeti. Bonyeza katika herufi inayoanzia na neno unalotaka kuona (hii ni kwa kiingereza, baada ya tafsiri herufi zimebadilika), kwa hiyo pitia maneno yote.
──»«──
Kama umeona neno linalohusiana na uwezeshaji jamii na unataka kujadili, tafadhali
tuandikie.
kama utanakili maandishi kutoka kwenye mtandao huu, tafadhali mnukuu mwandishi au waandishi na ufanye marejesho
www.cec.vcn.bc.ca
This site is hosted by the Vancouver Community Network
(VCN)
© Hakimiliki 1967, 1987, 2007 Phil Bartle Ukurasa umesanifiwa na Lourdes Sada
──»«──Imehakikiwa:
2015.10.16
|