Tweet Fasiri:
Bahasa Indonesia |
MICHORO YA UHAMASHISHAJIMandhari ya Kiafrikana Julianna Kuruhiiraimehaririwa na Phil Bartle, PhDimetafsiriwa na Wamalwa PhilipVifaa vya MafunzoIli kunakili na kutumia kila picha kutoka kwa mtandao, bonyeza juu ya picha hiyo. Utakapobonyeza, picha hiyo itatokea nzima ikiwa peke yake. Inakili (Ukitumia kitufe cha "Save_as" kwenye kompyuta yako). Kurudi kwa hati ya maneno haya, bonyeza kitufe cha "BACK" kwenye mkanda uitwao "tool bar".Mchoro 1: Mkutano wa Jamii; Kuhamashisha:
Mchoro 2: Kutambua Mahitaji ya Jamii; Kuunda Mpango: Mchoro 3: Mkutano wa Jamii; Kuamua ni Nini Vipao Mbele: Mchoro 4: Mkutano wa Kamati Kuu ya Jamii; Kupanga Mradi: Mchoro 5: Mafunzo ya Kiufundi ya Jamii; Wataalamu wa Wizara ya Serikali Katika Mazungumzo na Jamii: Mchoro 6: Kuhamashisha Jamii; Afya na Usafi: Mchoro 7: Mafunzo ya Jamii juu ya Usimamizi wa Miradi; Semina ya Mambo ya Fedha na Uhasibu: Mchoro 8: Mchango wa Jamii; Kutoa Vifaa: Mchoro 9: Jamii Kazini; Kuchimba Mtaro: Mchoro 10: Semina ya Mafunzo; Kujifunza Ujuzi wa Usimamizi na Uongozi: Mchoro 11: Mafunzo: Semina Juu ya Kuandika Ripoti: Mchoro 12: Jamii Ikiendelea na Kazi; Kuunda Matofali: Mchoro 13: Jamii Ikiendelea na Kazi; Ujenzi: Mchoro 14: Mchango wa Jamii: Kuwapa Chakula Wafanyi Kazi wa Kujitolea: Mchoron 15: Mafunzo ya Kiufundi; Kujifundisha Jinsi ya Kutumia Tena Takataka: Mchoro 16: Kufuatilia na Kukadiria kwa Jamii: Mchoro 17: Kutoa Ripoti kwa Jamii: Mchoro 18: Kukamilisha Mradi; Sherehe na Kuadhimisha: Ikiwa ulipendezwa na michoro hii na kuiona ikiwa ya manufaa, tafadhali tujulishe jinsi ulivyoitumia. Kwa michoro mingine kama hii, tazama: Michoro
ya Kuzalisha Mapato ––»«––© Hakimiliki 1967, 1987, 2007 Phil Bartle
––»«–– |
Nyumbani |
Uhamashishaji |