Tweet Fasiri:
Bahasa Indonesia |
MRADI WA UHAMASHISHAJIna Phil Bartle, PhDimetafsiriwa na Wamalwa PhilipUtangulizi wa Sehemu (Kitovu)Nyaraka Zilizoko Kwenye Huu Uhamashishaji Sehemu
Kuifanya jamii ichukue hatuaKuwezesha jamii, kukuza ushirika wa jamii, kipindi cha uhamashishaji, kusisimua miradi ya kujisaidia, kuleta mabadiliko ya jamii na kuifanya ijitegemee, vita vya kuondoa umaskini mhamashishajiâ hii yote ni misururu ya mradi inayohusiana. Anayeanzisha miradi hii hufaamika kwa majina kama mhamashishaji, mwelekezaji, mwanaharakati, wakala wa mabadiliko, afisa wa maendeleo ya jamii. Misururu ya sehemu za mafunzo ya kuwezesha na kuimarisha uwezo wa jamii za mapato ya chini pamoja na vifaa kadhaa vya miradi hiyo. Msururu huu unajumulisha: Utangulizi wa Mradi wa Uhamashishaji,utangulizi huu, Kipindi cha Uhamashishaji, kijitabu cha semina, Kipindi cha Uhamashishaji, kikifafanuliwa kwa kina, Michoro ya Kipindi cha Uhamashishaji, imechorwa Julianna Kuruhiira, ikiangazia kila hatua ya kipindi, Kuwa Mhamashishaji, ukarasa mmoja wa mafunzo wenye maelezo ya kile kinachohitajika kuwa mhamashishaji na kazi na jukumu lake, Kuleta Umoja, inaeleza kwamba jamii kwa kawaida huwa na migawanyiko, lakini mradi huu lazima uunganishe jamii hiyo ili kuwezesha kupata maafikiano ya jamii kuhusu miradi, Kula na Marafiki, inaeleza umuhimu wa chakula katika kuwezesha na kuimarisha jamii, Mafunzo kama Njia ya Kuhamashisha, inaeleza njia maalum ya kufundisha inayoshirikisha mafunzo kuhusu uongozi na usambazaji wa ujuzi. Kwa Maonyesho ya Power Point ya kipindi cha uhamashishaji, ikiwa ni maandishi pamoja na michoro yake, tazama. Maonyesho ya Power Point. ––»«––Ujenzi wa Mradi wa Jamii: Ikiwa utanakili au kuiga maandiko kutoka kwenye tuvuti hii, tafadhali kiri au tambua waandishi/watunzi
|
Nyumbani |