Ukurasa wa nyumbani
 Katikaa Utendaji




Tafsiri:

'العربية / al-ʿarabīyah
Bahasa Indonesia
Català
中文 / Zhōngwén
Deutsch
English
Español
Ewe
Filipino/Tagalog
Français
Galego
Ελληνικά / Elliniká
हिन्दी / hindī
Italiano
日本語 / Nihongo
Kiswahili
नेपाली / Nepālī
Polszczyzna
Português
Română
Русский
Српски / Srpski
Türkçe
اردو / Urdu
Èdè Yorùbá

                                        

Kurasa zengine:

Visomo

Ramani ya tovuti

Maneno muhimu

Wasiliana nasi

Nyaraka za matumizi

Tovuti zinazohusiana

UJUZI UNAOHITAJIKA

Kitakacho ng'amuliwa na kamati ya kijamii ya utekelezaji

na Phil Bartle, PhD

imetafsiriwa na Lillian Odembo Naka


Kifafanuzi cha mafunzo

Hata kabla ya viongozi kubainisha mahitaji mapya yatakayo hitaji ufunzaji wa ujuzu fulani,unapaswa kuwa tayari kutaja baadhi ya ujuzi.

Ingawa haupaswi kuwa dikteta wa ujuzi unaohitaji mafunzo, ni vyema uwe tayari kuisaidia jamii (tazama Kutayarisha Warsha kuhusu umuhimu wa kusadikisha).

Baadhi ya ujuzi unaoweza kutajwa.

Huwezi kuwa na ujuzi wote utakao hitajika ili uwafunze wengine, kwa hivyo utahitajika kupata usaidizi kutoka kwa watu wengine wenye ujuzi huo ili musaidiane.Ni vyema uwajuze watu hao jinsi ya kutoa mafunzo kwa kujumuisha wanafunzi.

––»«––

Mafunzo ya Kudhibiti jamii;
Warsha wa masomo ya kuweka rekodi ya pesa:


Ujuzi:

© Hakimiliki 1967, 1987, 2007 Phil Bartle
Web Design: Lourdes Sada
––»«––
Imeratibishwa mwisho: 11.11.2011

 Ukurasa wa nyumbani

 Katika Utendajji