Ukurasa wa Nyumbani
Kujitayarisha




Tafsiri:

'العربية / Al-ʿarabīyah
Bahasa Indonesia
Català
Deutsch
English
Español
Français
Ελληνικά / Elliniká
Kiswahili
Português
Српски / Srpski
Türkçe

                                        

Kurasa zengine:

Moduli

Ramani ya Tovuti

Maneno muhimu

Wasiliana nasi

Nyaraka za Matumizi

Viungo muhimu

Hadithi ya tatu

Hakuifahamu Jamii

na Phil Bartle, PhD

imetafsiriwa na Lillian Naka

Vignette

Hadithi fupi zinazoelezea kanuni

Andreas alijawa na furaha ya kwenda kwa jamii ya kwanza na kuanza kazi yake mpya kama mhamasishi.

"Ningependa wajue kwamba mimi ni rafiki na mmoja wao", alifikiria

Alizunguka kwa wanakijiji wote, akisalimia kwa mkono kila aliye kutana naye. Wake kwa Waume.

Alicho kosa kujua ni kwamba, katika jamii hiyo ya Kiislamu, kumsalimia mwanamke kwa mkono ni kama kutusi usafi wake na changamoto kwa mumewe. Andreas hakufahamu sababu ya wanakijiji kutofurahia uwepo wake kama alivyo furahi kuwaona. Mwishowe Andreas alifaulu kulainisha mambo, lakini wanakijiji hawakusahau siku za mbeleni alivyo enda kinyume na itikadi zao.

Kumbuka:
Hadithi hizi zimetokana na matukio ya kweli. Majina ya watu na mahali yamebadilishwa ili kuficha uhalisia.

──»«──
Ukinakili kutoka kwa tovuti hii, tafadhali mkiri mwandishi/ Waandishi
na uihusishe kwa www.cec.vcn.bc.ca/cmp/indexks.htm

© Hati miliki 1967, 1987, 2007 Phil Bartle
Mtandao umebuniwa na Lourdes Sada
──»«──
Imeratibishwa mwisho: 2013.12.02

 Ukurasa wa nyumbani
Kujitayarisha