Fasiri:
Kurasa nyingine:
|
MUHTASARI WA KIPINDI CHA UHAMASHISHAJI
imetafsiriwa na Wamalwa Philip
Kijitabu cha Mafunzo
Misururu
ya mafunzo ya uhamashishaji juu ya usimamizi na uongozi ni kama ifuatavyo (yaweza
kubadilishwa kidogo kulingana na mazingira au jamii tofauti)
Kukutana na viongozi wa eneo hilo na wale wa Serikali kuu
Mikutano ya hadhara na wanachama wa jamii zilozolengwa
Kutayarisha wafanyikazi wa jamii
Kuunganisha vikundi tofauti katika jamii
Kufundisha viongozi wa jamii na wahamashishaji (kwa mfano, juu ya jinsi ya kutayarisha na kuandika miundo ya mradi mizuri)
Tambua matatizo ya dharura au yaliyo ya kipao mbele (na hivyo basi kupata suluhisho ambayo zitakuwa malengo ya mradi)
Lazima Ilingane na Mipango ya Maendeleo ya Wilaya na Vipao Mbele vya Jamii
Ambayo imeagizwa na kuwasilishwa na jamii zilizolengwa kama mapendekezo yao
Mapendekezo lazima yajadiliwe hadi yatosheleze matarajio ya kila mtu
Wanachama wa jamii wanaanza kufanya kazi ya mradi
Hitaji la utekelezaji
Utekelezaji, kufuatilia, kuripoti, malipo
Alika miundo ya miradi ya jamii mingine (ni njia; sio kikomo)
Tazama PAPA na Kamal Phuyal
Kwa
Maonyesho ya Power Point ya kipindi cha uhamashishaji, ikiwa ni maandishi pamoja
na michoro yake, tazama Maonyesho ya Power Point. Maonyesho ya Power Point.
Kwa
maelezo ya kila hatua katika kipindi hicho hapo juu, tazama Ufafanuzi
wa Kipindi cha Uhamashishaji
––»«––
© Hakimiliki 1967, 1987, 2007 Phil Bartle Web Design: Lourdes Sada
––»«––Imeratibishwa mwisho: 11.11.2011
|