Tafsiri:ArabicBahasa IndonesiaBengaliBulgarianCatalàCebuanoChineseDeutEnglishEspañolEweFarsiFilipinoFrançaisGalegoGreekGujaratiHindiItalianKinyarwandaKiswahiliMalayPolskiPortuguêsPunjabiRomãnãSindhiSomaliRusoTeluguThaiTiếng ViệtUrduYorubaMifumo mingineMfumo wa manenoMfumo wa maonyeshoKurasa nyingine:VisomoRamani ya tovutiFunguo za manenoWasiliana nasiHati muhimuKurasa muhimu |
MatayarishoMwongozo wa MratibuMwandishi Phil BartleMtafsiri; Marcellus Chegge na Elie ChansaUtambulisho wa KitengoHati zilizoko kwa kitengo cha Kujitayarisha
Kujitayarisha kuwa mratibuIli uweze kufaulu kueneza maendeleo ya wenyewe kwa wenyewe katika jamii, lazima ujitayarishe. Lazima ujue na ufahamu lengo lako; lazima uijue na kuifahamu jamii unayoilenga; lazima uwe na ujuzi unaohitajika; itakubidi uelewe fikra muhimu za uhamasishaji. Kitu cha kwanza kufanya sasa ni kuanzisha shajara. Daftari la bei nafuu litafaa. Labda ungependelea kutumia madaftari manne na kuyapa majina haya: (1) Malengo na dhana; (2) Jumuiya inayolengwa; (3) Mbinu za uratibu, na (4) Shajara ya kila siku. Kwa njia yeyote ile upendayo kujiandaa, ni muhimu uanze kuandika muhtasari na kumbukumbu sasa. Andika ukiwa fikirani na atakayechukua mahali pako kama msomaji wako. Kitengo hiki kinakufahamisha vitu unavyohitaji ili kujitayarisha. Usidhani ya kwamba unaweza kujitayarisha mara moja tu, na ukamaliza. Sisi waratibu huendelea kwa mfululizo kujifunza zaidi na zaidi kuhusu yote yaliyotajwa katika sura hii, ni njia isiyo na kikomo na hatutafaulu kama tutafikiri kwamba tunao ujuzi wote. ––»«––Kipindi cha Mafunzo: kama
utanakili maandishi kutoka kwenye mtandao huu, tafadhali mnukuu mwandishi au waandishi, |
Ukurasa wa nyumbani |