Ukurasa wa nyumbani
Tuanze mada




Tafsiri:

'العربية / al-ʿarabīyah
Bahasa Indonesia
Български език
Català
中文 / Zhōngwén
Deutsch
English
Español
Euskara
Ewe
Filipino/Tagalog
Français
Galego
Ελληνικά / Elliniká
हिन्दी / hindī
Italiano
日本語 / Nihongo
Kiswahili
한국어 / hangugeo
بهاس ملايو / Bahasa Melayu
Português
Română
Русский
>తెలుగు /Telugu
ไทย / Thai
Türkçe
اردو / Urdu

                                        

Kurasa nyingine:

Visomo

Ramani ya tovuti

Maneno muhimu

Wasiliana nasi

Nyaraka za matumizi

Tovuti zinazohusiana

JUMUIA KUAMUA CHA KUFANYA

Kuchagua ni Mlango wa Uwezeshaji

na Phil Bartle, PhD

Imetafsiriwa na Jacob Lisakafu


Nakala ya Kufundishia

Jumuia wana haki (na majukumu) kuamua maisha yao ya baadae.

Lengo lako kuu la kuendesha mikutano ya hadhara na kuongeza uwelewa iwe ni kwa jumii kuchagua njia ya kuchukua.

I muhimu kwa maisha yako kwamba maamuzi ya mwisho ni ya jamii yote,sio sawa na maamuzi ya kazi moja au mbili ndani ya jamii.

Itakuwa kitu kizuri,na msukumo,kumaliza kitendo,kama kitajengwa choo,clinic,au usambazaji wa maji,jengo la kulinda haki za wapangaji, au huduma zingine za jamii.

Ukipindishwe na kitu kizuri na misukumo.

Jumuia ina malengo (kwa mfano kujenga choo) kama una malengo yako (kuiwezesha jamii). ambayo haifanani.

Wasaidie na wasimamie jamii katika kupata malengo yao,njia nzuri,inaweza kuchukua siku nyingi.

Wanasiasa, waandishi wa habari na watawala watajaribu kukuoji kwa malengo ya jamii (kwa mfano ujenzi wa vyoo), usichanganye.

Ujenzi wa choo ni njia na sio lengo.

Kama kitajengwa bila jamii kuwezeshwa, bila kuongeza usawa wa kijinsia, bila kuongeza uwazi, bila kuongeza kijitegemea, basi utakuwa umeshindwa kufikia malengo yako.

Ni rahisi kupampu rasilimali katika jamii (kwa mfano, pesa,mabomba, vifaa vya kuezekea) kwa kujengea jengo linaloonekana,lakini inaweza isiwe endelevu;wanachama wa jumuia wanawesa kujisikia hawamiliki, na hawatajisikia wana jukumu la kuangalia hilo jengo.

Unaweza kufikia malengo ya muda mfupi ya wanasiasa au waandishi wa habari kwa kutoa/kujenga vyo kwa jamii, lakini itaweza kushindwa kufikia malengo yako ya uwamasishaji ya muda mrefu ya kuimalisha jamii hiyo.

Kama haijafanyika kwa usahii, haina haja ya kuifanya kabisa.

The "Utowaji" Njia hiyo inafanya jamii kuwa dhaifu na kuchangia katika kuangua kwa huduma za jamii "Dalili za kuwa tegemezi."

Kama jamii imeshajiandaa (Kuongeza uwelewa, Umoja utadumishwa, Habari za uwakika, Kuchagua vipaumbele), sasa tupo tayari kwenda Kitendo.

Visomo vijavyo vitaonyesha kazi yako .

––»«––

© Hakimiliki 1967, 1987, 2007 Phil Bartle
Web Design: Lourdes Sada
––»«––
Imeratibishwa mwisho: 12.11.2011

 Ukurasa wa nyumbani

 Tuanze mada