Tafsiri:
Akan |
Maneno muhimu V, ya maendeleo ya jamii, uwezeshaji na ushirikiMwandishi Phil BartleMtafsire: Alpha Mukama, Abdulrazzaq Adam OtienoVitendo vitendo hutokea pale ambapo, kikundi lengwa kinakuwa kimefanya jambo fulani,bila ya kujifunza kuhusu kitu hicho. Mafunzo mazuri ni yale ambayo washiriki wanajifunza kwa vitendo. Wewe kama mwezeshaji ni kuhamasisha na kuongoza jamii kivitendo. Kuwakusanya wanajamii pamoja kwa ajili ya mkutano au kuunda kamati si kuwawezesha. hapo hujafanya lolote bado. kuwawezesha ni baada ya kuwahusisha katika vitendo. العربيّة: الفعل, Català: acció, Deutsch: aktion, Ελληνικά: Δράση, English: action, Español: acción, فارسی: عمل کنی, Filipino: akysion, Français: action, Galego: acción, हिन्दी : कार्य, कार्रवाई, Italiano: azione 日本語: 行動, 行動, Kiswahili: vitendo, हिन्दी: कार्रवाई, Português: acção, Română: actiune, Pyccкий: Действие, తెలుగు: చర్య, Türkçe: faaliyet, 中文 : 行动──»«──Kama umeona neno linalohusiana na uwezeshaji jamii na unataka kujadili, tafadhali tuandikie.kama utanakili maandishi kutoka kwenye mtandao huu, tafadhali mnukuu mwandishi au waandishi |
Ukurasa wa nyumbani |