Tweet Tafsiri:
'العربية / al-ʿarabīyah |
MIJADARA YA WAZIJinsi ya Kuendesha Mikutano ya Wazina Phil Bartle, PhDimetafsiriwa na Jacob LisakafuNakala ya KufundishiaMuamasishaji unaitaji kuwasiliana na watu katika jumuiaKuongeza uwelewa na kujipanga kwa jumuia,kifaa chako kikubwa ni mikutano ya adhara ambapo mijadara ndio itakuwa mada kubwa. Hapa ni muhimu kuongea na waamasishaji wako Malengo, kama inavyoonyesha juu, na kanuni muhimu, ni Maneno muhimu. Na zaidi Usikariri maana; zitafsiri kanuni zote kwa kadri unavyoelewa,na zijadili katika kijarida chako na wafanyakazi wenzako. Usisome kama unafundisha injili kama mchungaji; usiutubie kama mwanasiasa; usitoe muhadhara kama professa, zuia kuweka pointi au kuisma kama imla. Fanikisha. Uliza maswali. Simamia. Njia yako mzuri ni uwe ni kuwatumia wasomi wa Kigiriki,Socrates,ambaye alifundisha siku zote kwa kuuliza maswali, hakutoa majibu. Halikuwa muonozaji mzuri, kuongoza watu kufukiria (kupima na kuona) wao wenyewe. Uonekane umetulia, unajiamini na upo safi.Toa maswali katika washiriki, muhimu kuuliza swali lakawaida na lenye kuonyesha uaibu kwa ajili ya kupata maoni.Usiruhusu mtu ambaye anajiamini sana kuchukua au kutawala mjadara. Katika mkutano wa adhara unaweza pia kutambulisha "chemsha bongo" kipindi,ambacho utatumia tena katika kipindi cha kupanga kikundi cha uongozi. Elezea kwamba vipindi tofauti vina misingi tofauti ya kuongoza. Fungua mjadara, ambao utaongozwa na msimamiaji na kuuliza maswali, ataruhusu mijadara na mazungumzo; "chemsha bongo" haina. Katika chemshabongo utasisitiza hakuna mjadara, hakuna kupingana, hakuna kuongea kati ya mtu na mtu. Utaomba maoni na kuandika kwenye ubao,yeote hata kama mibaya, na mwisho kuchagua kwa vipaumbele katika orodha ya maoni. "Chemshabongo" ina muundo na inaangalia kwa washiriki kusoma na kufanya kwa vitendo. Usiwaambie wanajumuia kufikiria au nini cha kufanya Unaweza kutaka,uwe na malengo ya kuwawezesha, pigania kutokuwa na matamanio,ujinga, kuwa tegemezi, magonjwa na kutokuwa na uwazi (vyanzo vya umasikini). Lakini uongoze hili waje na mawazo yao,na maamuzi yao. Lazima uchukue njia za kusimamia kama unataka kuwezesha na kuwaimarisha ( kutoa muhadhara na kuubiri) ––»«––kukusanyika kwa Jumuia Ukiiga
kutoka kwa tovuti hii, tafadhali muungame mwandishi) |
Ukurasa wa nyumbani |
Tuanze mada |