Ukurasa wa nyumbani
 Maneno muhimu


Tafsiri:

Akan
العربية  / ت
العربية  / ط
العربية  / ظ
Català
Deutsch
Ελληνικά /   t
Ελληνικά /   θ
English
Español
Euskara
Filipino/Tagalog
Français
Galego
हिन्दी /   ठ
हिन्दी /   ट
हिन्दी /   त
हिन्दी /   ञ
Italiano
日本語 /   た
日本語 /   つ
日本語 /   て
日本語 /   と
Kiswahili
بهاس ملايو / Bahasa Melayu
Nederlands
Português
Română
Русский /   t
Русский /   ц
af Soomaali
ไทย /   ธ
ไทย /   ท
ไทย /   ถ
ไทย /   ต
Tiếng Việt
Türkçe
اردو   / ت
اردو   / ـﭧ
اردو   / ط
Yoruba

                           

Kurasa nyingine:
Maneno muhimu
Visomo

Sociology:
Home Page
Lecture Notes
Discussions

Utilities:
Ramani ya tovuti
Wasiliana nasi
Nyaraka za matumizi
Tovuti zinazohusiana


Viungo vya maneno yanayoanza na herufi:

  A   B   Ch   D   E   F   G   H   I   J   K   L   M   N   O   P   R   S   T   U   V   W   Y   Z


Maneno muhimu T, ya maendeleo ya jamii, uwezeshaji na ushiriki

Mwandishi Phil Bartle

Mtafsire: Alpha Mukama, Abdulrazzaq Adam Otieno


Tamaduni

Ni zaidi ya nyimbo na ngoma, ni sayansni ya jamii inayomaanisha namna nzima ya kuishi na kujifunza mitazamo na tabia zinaziounda jamii husika. katika nyanja zote sita kiteknolojia, kiuchumi, kisiasa, kimchangamano, kidini na ki ulimwengu.

Kiungo muhimu cha tamaduni nialama "tamaduni" si jambo la kigenetiki, inapasishwa kwa kutumia alama. na wakati mwingine inaitwa " superorganic" sababu inatengenezwa na miundo ambayo inapasisha miundo ya kibaiolojia na kutengeneza tamaduni.

 বাংলা : ংস্কৃতি,    Bahasa Indonesia: budaya,    Català: cultura,    Deutsch: kultur,    Ελληνικά: πολιτισμοσ,    English: culture,    Español: cultura,    Euskera: kultura,    Ewe: asa,    Filipino/Tagalog: kultura,    Français: culture,    Galego: cultura,    Italiano: cultura,    日本語: 文化,    Kiswahili: tamaduni,    Malay: budaya,    Português: cultura,    Română: cultura,    Af Soomaali: dhaqanka,    Tiên Việt: văn hoá,    Türkçe: kültür,    中文 (Zhōngwén): 人类文化


 

Tatufa ushauri

Shirika la misaada linapoomba ushauri kutoka kwa viongozi wa jamii au wawakilishi huwa mara nyingi wanauliza kama jamii inahitaji mradi. najibu mara nyingi huwa ni, "ndio"  Shirika/mwakilishi anatoa ripoti kuwa kulikuwa na ushirikishwaji wa jamii. hiyo si sahihi

Kilichotendeka pale ni ushauri tu, sio ushirikishwaji wa jamii katika kufany amaamuzi na kupanga juu ya mradi husika. (tofauti na matakwa ya shirika husika).

 বাংলা : পরামর্শ গ্রহন,    Bahasa Indonesia: konsultasi,    Català: consulta,    Deutsch: beraten,    Ελληνικά: συμβουλευτικη,    English: consult,    Español: consultar,    Euskera: aholkatu,    Filipino/Tagalog: konsulta,    Français: consulter,    Galego: consulta,    Italiano: consultazione,    Kiswahili: tatufa ushauri,    Malay: berunding,    Português: consulte,    Română: consultare,    Tiên Việt: tham khảo,    Türkçe: danışmak,    中文 (Zhōngwén): 咨询意见


 

Thamani inayokubalika na jamii

Thamani inayokubalika kipimo cha jamii ni muundo wa mawazo, wakati mwingine ni utata, kutokuwa makini au kujichanganya, kwa mawazo ya watu kuhusu zuri au baya, uzuri au ubaya na nini ni sahihi, nini si sahihi, katika kuelezea vitendo vyao.

kipimo cha utamaduni. Kipimo = kielelezo. angalia " Utamaduni." kwa kujifunza; haupasishwi toka kizazi mpaka kizazi kwa kurithi. Itikadi. Thamani. Angalia vipimo.


 

Thamani za msingi

Thamani a msingi ni moja ya elementi kumi na sita za nguvu, ushupavu na uwezo wa jamii au ushirika. Angalia: Elementi za nguvu ya jamii.

Hii ni uwezo wa jamii kushikiana katika uthamani, hasa kuwa wakokatika jamii inayowajali na kutimiza matakwa ya wanajamii wake.

Jinsi wanajamii wanavyo shirikiana, au kuelewana na kuvumiliana katika thamani zao na mwelekeo wao ndio jamii yao itakavyokuwa imara. Ubaguzi, uchaguzi, ushupavu vinaizorotesha jamii. 

Unapoisisimua jamii kujikusanya na kufanya jambo, mwezeshaji unahitaji kuwa macho na kazi ya tamaduuni zao katika kuwawezesha wanajamii husika.

 Català: valors comuns,    Deutsch: gemeinsame werte,    Ελληνικά: κοινεσ αξιεσ,    English: common values,    Español: valores comunes,    Français: valeurs communes,    Italiano: valori comuni,    Kiswahili: Thamani na msingi,    Português: valores comuns,    中文 (Zhōngwén): 共同价值观


 

Tiba ya jamii

Hili neno linatumika katika kuelezea kazi za wanasayansi wa soshiolojia katika kuleta mabadiliko

Mwezeshaji anajiingiza katika tiba ya jamii

Angalia Soshiolojia itendayo kazi.

Català: sociologia clínica,   Deutsch: klinische soziologie,    Ελληνικά: κλινικη κοινωνιολογια,   English: clinical sociology,   Español: sociología clínica,   Français: la sociologie clinique,   Italiano: sociologia clinica,   Kiswahili: tiba ya jamii,   Português: sociologia clínica,   Pyccкий: Клиническая Социология,   中文 (Zhōngwén): 临床社会学


──»«──
Kama umeona neno linalohusiana na uwezeshaji jamii na unataka kujadili, tafadhali tuandikie.
kama utanakili maandishi kutoka kwenye mtandao huu, tafadhali mnukuu mwandishi au waandishi
na ufanye marejesho www.cec.vcn.bc.ca
This site is hosted by the Vancouver Community Network (VCN)

© Hakimiliki 1967, 1987, 2007 Phil Bartle
Ukurasa umesanifiwa na Lourdes Sada
──»«──
Imehakikiwa: 2015.10.14


 Ukurasa wa nyumbani