Tafsiri:
Akan / j |
Maneno muhimu Y, ya maendeleo ya jamii, uwezeshaji na ushirikiMwandishi Phil BartleMtafsire: Alpha Mukama, Abdulrazzaq Adam OtienoYa kawaida si rasmi. iliyotulia. Kama shirika haliwataki wafanyakazi wake kuvaa nguo zisizowasumbua, tunasema ni mavazi "ya kawaida" Kama wapenzi wawili wana mahusiano ambayo hayajawekwa wazi kwenye jamii tunasema "ya kawaida" Usichanganye na neno " Sababishi." Català: casual, Deutsch: leger, Ελληνικά: προχειροσ, English: casual, Italiano: casual, Kiswahili: ya kawaida, Português: casual, 中文 (Zhōngwén): 随便的──»«──Kama umeona neno linalohusiana na uwezeshaji jamii na unataka kujadili, tafadhali tuandikie.kama utanakili maandishi kutoka kwenye mtandao huu, tafadhali mnukuu mwandishi au waandishi |
Ukurasa wa nyumbani |