Ukurasa wa nyumbani
 Maneno muhimu


Tafsiri:

Akan / c
Akan / k
Akan / t
'العربية / al-ʿarabīyah / ل
'العربية / al-ʿarabīyah / خ
Bahasa Indonesia
Català
English
Español
Euskara
Français
Galego
हिन्दी /   क
हिन्दी /   ध
हिन्दी /   छ
हिन्दी /   स
Italiano
日本語 /   ち
日本語 /   さ
日本語 /   し
日本語 /   す
日本語 /   せ
日本語 /   そ
Kiswahili
Português
Română
Русский / k
Русский / ч
Русский / ш
Русский / щ
Srpski / c
Srpski / č
Srpski / ć
 ไทย / Cho Chan
 ไทย / Cho Ching
 ไทย / Cho Chang
Af Soomaali
Tiếng Việt
Türkçe
اردو / Urdu

                           

Kurasa nyingine:
Maneno muhimu
Visomo

Sociology:
Home Page
Lecture Notes
Discussions

Utilities:
Ramani ya tovuti
Wasiliana nasi
Nyaraka za matumizi
Tovuti zinazohusiana


Viungo vya maneno yanayoanza na herufi:

  A   B   Ch   D   E   F   G   H   I   J   K   L   M   N   O   P   R   S   T   U   V   W   Y   Z


Maneno muhimu that begin with the letter Ch

Mwandishi Phil Bartle

Mtafsire: Alpha Mukama, Abdulrazzaq Adam Otieno


CHACHU

Kwenye kemia, chachu ni kemikali ambayo inaharakisha uwezo wa kitu kutendekana yenyewe kuwa sehemu ya kitendo hicho.

Mara nyingi huongeza kasi ya kitendo, kwa hiyo neno chachu ni zuri kumuelezea mwezeshaji.

Mweeshaji haanzishi au kubadilisha jamii.

Jamii inajianzisha na kubadilika yenyewe.

Mwezeshaji anasisimua mabadiliko bila yeye kuwa sehemu ya ushirika wa jamii husika.

Cha muhimu, mwezeshaji atoe uongozi wa muda bila kuwa kiongozi wa jamii. 

 Català: catalitzador,    Deutsch: katalysator,    Ελληνικά: καταλυτησ,    English: catalyst,    Español: catalizador,    Français: catalyseur,    Italiano: catalizzatore,    Kiswahili: chachu,    Português: catalisador,    中文 (Zhōngwén): 催化剂


 

COMMUNAL FACILITIES AND SERVICES

Katika makazi ya binadamu, nafasi nyingine zinamiliikiwa na watu binafsi au familia, hasa nyumba.

vitu vingine kama barabara, maji, au shule vinamilikiwa na kikundi au kwa pamoja, ni mali ya jamii.

Kazi na huduma za kijamii, ni moja ya elementi kumi na sita za nguvu, uhodari na uwezo wa jamii au ushirika. Angalia: ELementi za nguvu ya jamii.

Makazi ya binadamu na huduma muhimu (kama vile barabara, soko, maji, elimu, huduma za afya), maisha, uendelevu nad uwezo wa wanajamii kupata huduam hizo.

Jinsi wanajami wnavyokuwa na uwezo wa kupata huduma hizo katika jamii ndio wanavyozidi kujiwezesha. (ni katika kupi ma uwezo wa ushirika kama vile vifaa vya ofisini, vyoo, na vitu vingine kwa ajili ya wafanyakazi).

Unapoihamasiha jamii kufanya kazi, mwezeshaji unatakiwa kuwa macho na umuhimu wa mali za jamii katika uwezeshwaji.


──»«──
Kama umeona neno linalohusiana na uwezeshaji jamii na unataka kujadili, tafadhali tuandikie.
kama utanakili maandishi kutoka kwenye mtandao huu, tafadhali mnukuu mwandishi au waandishi
na ufanye marejesho www.cec.vcn.bc.ca
This site is hosted by the Vancouver Community Network (VCN)

© Hakimiliki 1967, 1987, 2007 Phil Bartle
Ukurasa umesanifiwa na Lourdes Sada
──»«──
Imehakikiwa: 2015.10.13


 Ukurasa wa nyumbani