Tafsiri:
Akan |
Maneno muhimu S, ya maendeleo ya jamii, uwezeshaji na ushirikiMwandishi Phil BartleMtafsire: Alpha Mukama, Abdulrazzaq Adam OtienoSababishi Mfano kama kuna hali mbili tofauti, na moja (B) ni matokeo ya ila ya kwanza (A), hapo tunasema uhusiano wao ni wa kisababishi, kati ya "A" na "B". "A" itakuwa ni kisababishi na "B" itakuwa ni matokeo. Matendo na hali ya A lazima iwe inayojitosheleza na ni muhimu ili iitwe kisababishi cha "B". Huu ni uhusiano kati ya vitu viwili, ambapo mabadiliko katika kimoja yanaonekana kuwa sababu ya mabadiliko katika kitu kingine.Hili ni tatizo kwa wanasayansi. Joto linapowekwa katika kitu, kwa mfano molekyuli zinakwenda kwa kasi sana. Tunaamini kuwa ukitumia joto (kama kisababishi au si kisababishi) lina kawaida ya kufanya molekyuli kwenda kasi (zikiwa zimesababishwa au la). Wanasoshiolojia wanasema (ingawa ni vigumu kutabiri) kuwa kasi ya kujiua inaweza kutabirika. Kama jamii ina wakatoliki wengi basi kasi ya kujiua huwa ni ndogo (imepimwa kutoka kwa watu wanaohudhuria kanisani). Pale ambapo talaka inakuwa ni ngumu kupatikana basi kasi ya kujiua huwa ni kubwa kwa wanawake ( kama ilivyopimwa na sheria). Hatuna sababu za kisayansi kusema kuwa matokeo hayo yasahalalisha kuwa kipingamizi juu ya talaka husababisha au huongeza kasi ya kujiua miongoni mwa wanawake walioolewa, au kwamba ukatoliki unapnguza kasi ya kujiua (pengine kunakuwa na ripoti ndogo ya matukio). Angalia "kwasababu." Usichanganye na neno " kisababishi." au "madhara" with "majeruhi." Angalia: Matatizo ya kutabiri na kusabababisha. Català: causal, Deutsch: kausal, Ελληνικά: αιτιωδησ, English: causal, Español: causal, Français: causal, Italiano: causale, Kiswahili: sababishi, Português: causal, 中文 (Zhōngwén): 因果关系的Sherehe Sherehe ni furaha juu ya mabo fulanni, mara nyngi ni juu ya jambo ambalo linambadilisha mtu au kitu. Sherehe jambo la wazi. Kwa mwezeshaji, sherehe za kumaliza mradi wa jamii ni za muhimu na ni muhimu katika kipengele cha kuiwezesha jamii, ambapo jamii itafahamika kwa kujihusisha kikamilifu katika kuhisaidia. Pia ni nafasi muhimu ya kuanza uwezeshaji mwingine. Angalia ukusanyaji mzunguko. Angalia Sherehe. العربيّة: الاحتفال, বাংলা : উদ্যাপন, Bahasa Indonesia: perayaan, Català: celebració, Deutsch: feier, Ελληνικά: Εορτασμός, English: celebration, Español: celebración, Euskera: ospakizuna, Filipino/Tagalog: pagdiriwang, Français: célébration, Galego: celebración, Italiano: celebrazione, 日本語: お祝い, Kiswahili: sherehe, Malay: keraian, Português: comemoração, Română: celebrare, Pyccкий: празднование, Srpski Proslava Tiên Việt: sự khen ngợi, Türkçe: kutlama, ردو: جشن, 中文 (Zhōngwén): 庆祝Si ubinafsi Kutokuwa mbinafsi ni moja ya elementi kumi na sita za nguvu,uzito na uwezo wa jamii au muundo. angalia Elementi za nguvu ya jamii. Si ubinafsi inaweza kutafsiriwa kama namna ambavyo oganaizesheni (au kikundi) inavyokuwa na uwezo wa kujitoa/ kujinyima kwa ajili ya watu (au kikundi) kwa ujumla. katika sosholojia ni sawa na namna ambavyo mtu anakuw atayari kujitoa kwa ajili ya faida ya jamii. (inaangaliwa kama ni namna ya kujitolea, kujinyima,fahari, kusaidia, heshima, kuwajibika, ujasiri, undugu. Katika jamii nyingine kutokuwa mbinafsi wengine wanajitoa muhanga kwa ajili ya nchi zao.Katika uwezeshaji ina maana ya uwezo/uamuzi wa kuchangia rasilimali (hii inahusisha pia muda wako binafsi, nguvu) kwenye jamii bila kutegemea malipo. KAma jamii itaendelea kutokuwa wabinafsi, itasaidia sana katika maendeleo ya hiyo jamii. (Mahali ambapo watu binafsi, familia au kikundi ni wenye tamaa ya mali zaidi ya maendeleo ya jamii,hii itadhoofisha jamii).Ukiifanya jamii ijikusanye na kufanya jambo, basi ni lazima mwezeshaji ufahamu kuhusu kujitoa/kutokuwa mbinafsi ili kuiwezesha jamii husika. Català: altruisme, Deutsch: altruismus, Ελληνικά: αλτρουισμοσ, English: altruism, Español: altruismo, Français: altruism, Galego: altruísmo, हिन्दी : परोपकारिता, Italiano: altruismo, 日本語: 愛他主義, Kiswahili: si ubinafsi, Português: altruismo, Română: altruism, Pyccкий: альтруизм, Türkçe: altruizm, 中文 : 无私的『利他主义Soshiologia itendayo kazi Tofauti na soshiologia halisi, soshiologia ifanyayo kazi inajaribu kufanya mabadiliko katika jamii. Uwezeshwaji wa jamii ni sehemu ya soshiologia itendayo kazi. Català: sociologia aplicada, Deutsch: angewandte soziologie, Ελληνικά: εφαρμοσμενη κοινωνιολογια, English: Applied Sociology, Español: la sociología aplicada, sociología clínica, Français: la sociologie appliquée, Galego: socioloxía aplicada, हिन्दी : लागू समाजशास्त्र, Italiano: sociologia applicata, 日本語: 応用社会学, Kiswahili: soshiologia itendayo kazi, Português: sociologia aplicada, Pyccкий: прикладная социология, Türkçe: uygulamalı sosyoloji, 中文 : 应用社会学──»«──Kama umeona neno linalohusiana na uwezeshaji jamii na unataka kujadili, tafadhali tuandikie.kama utanakili maandishi kutoka kwenye mtandao huu, tafadhali mnukuu mwandishi au waandishi |
Ukurasa wa nyumbani |