Ukurasa wa nyumbani
 Maneno muhimu


Tafsiri:

Akan
العربية
Bahasa Indonesia
Català
Deutsch
Ελληνικά
English
Español
Euskara
Filipino/Tagalog
Français
Galego
हिन्दी
Italiano
日本語 /  ま
日本語 /  み
日本語 /  む
日本語 /  め
日本語 /  も
Kiswahili
بهاس ملايو / Bahasa Melayu
Nederlands
Português
Română
Русский
Srpski
ไทย
Tiếng Việt
Türkçe
اردو

                           

Kurasa nyingine:
Maneno muhimu
Visomo

Sociology:
Home Page
Lecture Notes
Discussions

Utilities:
Ramani ya tovuti
Wasiliana nasi
Nyaraka za matumizi
Tovuti zinazohusiana


Viungo vya maneno yanayoanza na herufi:

  A   B   C   D   E   F   G   H   I   J   K   L   M   N   O   P   Q   R   S   T   U   V   W   X   Y   Z


Maneno muhimu that begin with the letter M

Mwandishi Phil Bartle

Mtafsire: Alpha Mukama, Abdulrazzaq Adam Otieno


Maendeleo ya jamii

Jamii inapoendelea inakua pia. Angalia neno, Maendeleo. Haimaanishi kuwa kubwa na maarufu. ni kuwa ngumu na imara zaidi.

Jamii haiendelezwi na mwezeshaji, kama ua kuwa refu zaidi ya ayelivuta. jamii inajiendeleza yenyewe. Mwezeshaji ana ihamasisha tu, anawahsaur na kuwaongoza wanajamii kujiendeleza

Watu wengine wanaamini maendeleo ya jamii ni kuwa tajiri –– kuongezeka kwa mali au kipato. inaweza kuwa lakini ni zaidi

Nio mabadiliko ya kijamii, ambapo jamii inakuwa na nguvu na kuongeza idara, nguvu za pamoja na kubadilika kisifa.

Maendeleo ni kuongezeka kinguvu na uwezo katika vipimo vyote sita vya tamaduni.

 বাংলা : জনগোষ্ঠি উন্নয়ন,    Bahasa Indonesia: perkembangan masyarakat,    Català: desenvolupament comunitari,    Deutsch: gemeindeentwicklung,    Ελληνικά: κοινοτική ανάπτυξη,    English: community development,    Español: desarrollo comunitario,    Euskera: komunitatearen garapena,    Filipino/Tagalog: kalinagangg (kaunlaran) pangkomunidad,    Français: développement de la communauté,    Galego: desenvolvemento comunitario,    Italiano: sviluppo della comunità,    日本語: 共同体の発展,    Kiswahili: maendeleo ya jamii,    Malay: pembangunan komuniti,    Português: desenvolvimento da comunidade,    Af Soomaali: horumarka bulshada,    Tiên Việt: sự phát triển của cộng đồng,    Türkçe: toplumsal kalkınma,    中文 (Zhōngwén): 社区发展


 

Mafungu

Mafungu ni zawadi.

Mafungu ni zawadi. kuhamisha kuhamisha

katika ukurasa huu utaona utoaji mafungu si kitu cha kuvutia na kusisimua, kwa sababu kadha wa kadha. katika kila mradi wa kuzalisha kipato tunalenga katika kuwafundisha washiriki namna ya kuzalisha (kutengenrza) kipato kipya, kuwapa mafungu badala ya mikopo, kutawafanya kuwa hodari wa kupokea zawadi zaidi ya kupokea mikopo hata bila ya kuwa na miradi.

Sio endelevu. Pia ni sawa na wakati tunaisadia jamii, tunakutana na tatizo la kutengeza maendeleo yenye uelekeo tegemezi kama tukiwapa tu mafungu ili kupata huduma za kijamii. Kama tukiwafanya washiriki na kuchangia, kutasaidia kuwafanya wawe imara na wenye kujitegemea.

Uwezeshaji inahusisha kupunguza au kutotoa mafungu.

 Català: donació,    Deutsch: Zuschuss,    Ελληνικά: χορηγιεσ,    English: grant,    Español: subvención,    Français: subvention,    Italiano: concessione,    Kiswahili: mafungu,    Português: subvenção, doação,    Română: donație,    Türkçe: bağiş,    中文 (Zhōngwén): 补助金


 

Mafunzo ya utawala wa jamii

jamii mafunzo ya utawala yamelengwa katika kuondoa umasikini, kuimarisha kipato katika jamii kwa kupanga na kutawala makazi ya binadamu, mali za jamii na huduma za jamii, ujenzi ,uendeshaji na matengenezo. Haya ni mafunzo kwa vitendo, sio tu kwa kuhamisha ujuzi na taarifa kwa watu.

Mafunzo kama namna mojawap ya kuendeleza jamii na kuiondoa katika umasikini, kuhamasisha ushiriki wa jamii, kuhamasisha demokrasia na utawala, ni zaidi ya kuwafundisha stadi za kazi na ujuzi. Inahusisha pia kuwaandaa na kuwakusanya.haya ni mafunzo ya kiothodoxi

Mafuzo haya kuyafana rasmi kunaleta hatari ya kupunguza nguvu ya mafunzo, kwa kuhamasisha kufundisha kuhusu ujuzi, uwezeshaji na uandaaji wa mafunzo.

Mafunzo ya utawala yaliandaliwa ili kuongezea uwezo na kuleta umakini katika ngazi za juu na kati katika uongozi katika shirika linalopata faida. 

Hapa imerekibshwa na kuongezewa maarifa mengine ya ushirika wa kibiashara kwa nia ya kuwakusanya na kuwaongezea/kuwapa nguvu jamii zenye kipato kidogo ili kujisaidia wenyewe katika kuleta mabadiliko.


 

Mamlaka

Mamlaka ni nguvu ambayo watu huhisi ni halali.

Kazi ya mwezeshaji ni kuainisha mamlaka zilizopo kwenye jamii husika na kuona zikibadilika na pia kujaribu kuotea ni nini kitatokea hapo mbeleni.

wakati unaandaa na kuiwezesha jamii, kama kada hutakii kudharau mamlaka zilizopo.

 Català: autoritat,    Deutsch: autorität,    Ελληνικά: αρχεσ,    English: authority,    Español: autoridad,    Français: l'autorité,    Kiswahili: mamlaka,    Galego: autoridade,    हिन्दी : प्राधिकरण,    Italiano: autorità,    日本語: 権力,    Português: autoridade,    Română: autoritatea,    Pycкий: Власть,    Türkçe: otorite,    中文 : 权力


 

Maongezi

Katika makundi ya majadiliano unaweza kuwaruhusu washirikikuongea juu ya mawazo yao na kuwajibu wengine pia.Katika Kutafakari tofauti maongezi yanakataliwa.

washiriki ni lazima waelekeze majibu yao kwa kiongozi tu na kuchangia kwenye majadiliano na washiriki wengine. Hii sheria ni muhimu kwa kuwa na majadiliano yenye ubora,  na maamuzi yanayofanywa na kikundi kuwa bora zaidi.

Nje ya majadiliano si sehemu yako ya kazi.

 Català: debat,    Deutsch: wortgefecht,    Ελληνικά: αντεγκλιση,    English: cross talk,    Español: debate,    Français: joutes oratoires, entretien en travers,    Italiano: discutere,    Kiswahili: maongezi,    Português: debate,    中文 (Zhōngwén): 互相交谈


 

Mawasiliano

Mawasiliano ni moja ya elemeti kumi na sita za nguvu, ushupavu na uwezo wa jamii au ushirika.Angalia: Elementi za nguvu ya jamii.

katika jamii na kati yake na nje yake, mawasiliano yanahusisha barabara, nyia za umeme, (mfano, simu, luninga,mtandao) machapisho (magazeti, majarida, vitabu), mitandao, lugha mbalimbali, ufahamu, utayari na uwezo wa kuwasiliana (ambayo inamaanisha udiplomasia, utayari wa kusikiliza na pia kuongea) kwa ujumla. 

Jinsi jamii inavyopata mawasiliano bora, inapata nguvu. (kwa ushirika hii ni nguzo ya mawasiliano, nyanja na majaribio kwa wafanyakazi). mawasiliano hafifu ina maana ushirika goigoi.

Unapoihamasisha jamii kufanya jambo, mwezeshaji unatakiwa kufahamu kazi na nguvu ya mawasiliano katika kuwawezesha wanajamii.

Elementi za Uwezo / Nguvu.

Angalia Elementi 16.

 Català: comunicació,    Deutsch: kommunikation,    Ελληνικά: επικοινωνια,    English: communication,    Español: communicaciones,    Français: communications,    Italiano: comunicazione,    Kiswahili: mawasiliano,    Português: comunicação,    中文 (Zhōngwén): 沟通


 

Mazingira (ya kisiasa au ya kiuongozi)

Si ubinafsi ni moja ya elementi kumi na sita za nguvu, ushupavu na uwezo wa jamii au ushirika. Angalia: Elementi za nguvu ya jamii Jamii itakuwa na nguvu na itaendelea kupata nguvu na kujiendeleza yenyewe kwa jinsi inavyojikita kwenye mazingira yanayoisaidia. Mazingira hayo ni pamoja na siasa za nchi (thamani na muelekeo wa viongozi wa nchi), na uongozi (muelekeo wa viongozi na wafanyakazi wa serikali, wahandisi, na pia sheria za serikali na mwenendo wake) na sheria za nchii.

Viongozi wa siasa wanapochukua mkondo wa utoaji jamii inakuwa dhaifu, na kama wakichukua mkondo wa kuwawezesha basi jamii inakuwa imara.Jamii zinakuwa imara kama zikiwa kwenye eneo ambalo linasaidia wao kijiendeleza. Unapoisisimua jamii kujiongoza unatakiwa kuwa

 Català: context,    Deutsch: umfeld,    Ελληνικά: πλαισιο,    English: context,    Español: contexto,    Français: Contexte,    Italiano: contesto,    Kiswahili: mazingira,    中文 (Zhōngwén): 背景情况


 

Mchango

Watu wengine wanachanganya mchano na ushiriki. watu wengi wanaposikia usemi huu ushirikishwaji wa jamii. wanahisi unamaanisha michango ya jamii wanafikiria jambo moja tu ambalo ni namna watu wanavyojitolea nguvu kazi katika mradi.

Kwa bahati mbaya, kumetokea malalamiko hapo nyuma kuwa wanajamii wamekuwa wakitendewa kama vibarua na kulazimishwa kutoa nguvu kazi (au malighafi nyingine kama, ardhi, chakula n.k). Njia tunayoiongelea hapa ni tofauti kabisa.Ushirikishwaji hapa una maanisha kushiriki katika kufanya maamuzi, na si kutoa michango.Angalia michango ya jamii.

 বাংলা : সম্প্রদান,    Bahasa Indonesia: kontribusi,    Català: contribució,    Deutsch: beitrag,    Ελληνικά: συνδρομη,    English: contribution,    Español: contribución,    Euskera: ekarpena,    Filipino/Tagalog: kontribusyon,    Français: contribution,    Galego: contribución,    Italiano: contributo,    日本語: 貢献,    Kiswahili: mchango,    Malay: sumbangan,    Română: contributi,    Tiên Việt: sự đóng góp,    Türkçe: katki,    中文 (Zhōngwén): 贡献


 

Mchango wa jamii

tunaposema ushiriki wa jamii si sawa na mchango wa jamii (ingawa tunaweza kukosea na kuhisi ni sawa), ila vyote ni muhimu.

Ushiriki wa jamii unaiugawa mradi kuwa wa kijamii au kutokuwa wa kijamii, michango ni muhimu katika kuhakikisha kuwa wanachama wanajisikia kuumiliki mradi, yaani wamewekeza si kwa mba wameletewa tu.

Tunashauri asilimia hamsini ya michango katika miradi tunayoiongoza itke kwa wanachama wenyewe. Mwanzo hiiitaonekana kama ni ndoto na jambo gumu wa wanajamii wengi,apo tunatakiwa kuwaeleza kuwa hata nguvu zao wanazojitolea zinahesabiwa katika mradi, utashangaa nikiasi gani wamekwisha jitolea kwenye mradi.

Tunatolea mfano muda unatumiwa na wanajamii katika kupanga kuhusu mradi, kutoa mawazo yao, n akupangilia mradi nimichngo pia.na pia waeleze kuwa mchanga na nguvu kazi inayotolewa pia inahesabia kuwa ni mchango.

 Bahasa Indonesia: kontribusi masyarakat,    Català: contribució comunitària,    Deutsch: gemeindebeitrag,    Ελληνικά: συνεισφορα στην κοινοτητα,    English: community contribution,    Español: contribución comunitaria,    Euskera: komunitatearen ekarpena,    Filipino/Tagalog: kontribusyon ng komunidad,    Français: contribution de la communauté,    Galego: contribución comunitaria,    日本語: 共同体の貢献,    Italiano: contributo della comunità,    Kiswahili: mchango wa jamii,    Malay: sumbangan komuniti,    Português: contribuição da comunidade,    Română: contributia comunitatii,    Tiên Việt: sự góp phần cho cộng đồng,    Türkçe: toplum katkısı,    中文 (Zhōngwén): 社区贡献


 

Miradi ya kijamii

Mradi a kijamii ni ni mradi ammbao umetengenezwa na kuendeshwa katika jamii, ambapo maamuzi (utawala na m ipango) hufanywa na jamii nzima,

An agency that is formed from outside, and has decisions made for it from outside, may be community located, but is not community based. See the Acronym, Mradi wa jamii.


 

Muongozo

"muongozo" ni mpangilio wa kazi katika kufundisha

Ukurasa pepe huu umekusanya moduli nyingi za kufundishia. Kwa pamoja zinatengeneza muongozo kwa ajili ya mwezeshaji na kwa wataalamu mbali mbali kwa ajili ya kuiwezesha jamii kuinua kipato chao cha kiuchumi.

Muhtasari na maelezo ya muongozo huu yako kwenye waraka Turusi ya muongozo wa mafunzo ya utawala wa jamii, ambao utatumika katika kupanga mradi na kuongezea nguvu jamii zenye kipato kidogo.

 Català: programa,    Deutsch: studienplan,    Ελληνικά: διδακτέα ύλη, υλη,    English: curriculum,    Español: programa,    Français: programme d'études,    Italiano: programma,    Kiswahili: muongozo,    Português: currículo,    中文 (Zhōngwén): 学习课程


──»«──
Kama umeona neno linalohusiana na uwezeshaji jamii na unataka kujadili, tafadhali tuandikie.
kama utanakili maandishi kutoka kwenye mtandao huu, tafadhali mnukuu mwandishi au waandishi
na ufanye marejesho www.cec.vcn.bc.ca
This site is hosted by the Vancouver Community Network (VCN)

© Hakimiliki 1967, 1987, 2007 Phil Bartle
Ukurasa umesanifiwa na Lourdes Sada
──»«──
Imehakikiwa: 2015.10.13


 Ukurasa wa nyumbani