Tafsiri:
Akan |
Maneno muhimu that begin with the letter FMwandishi Phil BartleMtafsire: Alpha Mukama, Abdulrazzaq Adam OtienoFIKRA-AMINI KAMA KIPIMO CHA JAMII The fikra amini kipimo cha jamii ni aina nyingine ya mawazo, kama wakati mwingine huhusisha na watu kuamini kuhusu ulimwengu unaowazunguka na vitu vyote vinavyohusiana navyo, vinasababisha, muda na tabia. angalia "tamaduni." Imani kama ilivyo tamaduni inasambazwa kwa njia ya mawasiliano, alama, na sio kwa genetiki. Imani na m itazamo ya watu katika jamii, inaathirika na uwezeshaji wako katika jamii, na iwe kitu kikubwa cha kungalia katika mipangilio yako. Català: dimensió conceptual de les creences, Deutsch: konzeptuelle dimension, English: beliefs conceptual dimension, Español: dimension conceptual, Français: dimension croyance-conceptuelle, Galego: dimensión conceptual, हिन्दी : विश्वास वैचारिक आयाम (Vishwas Vaicharik Aayaam), Italiano: dimensione concettuale delle convinzioni, Kiswahili: fikra-amini kama kipimo cha jamii, Română: dimensiunea conceptuală, Pyccкий: Измерение мировоззрения и верования, Türkçe: inançların kavramsal boyutu, 中文 (Zhōngwén): 信念及概念层面──»«──Kama umeona neno linalohusiana na uwezeshaji jamii na unataka kujadili, tafadhali tuandikie.kama utanakili maandishi kutoka kwenye mtandao huu, tafadhali mnukuu mwandishi au waandishi |
Ukurasa wa nyumbani |