Tafsiri:
Akan / j |
Maneno muhimu that begin with the letter JMwandishi Phil BartleMtafsire: Alpha Mukama, Abdulrazzaq Adam OtienoJamii Neno jamii limekuwa likitumika kwa mana tofauti tofauti. Wana baiolojia wanaongelea jamii kama watu katika spishi moja, au spishi tofauti tofauti, zinazoishi, na kushirikiana au kushindana katika kutengeneza umoja. Tangu kuanzishwa kwa mitandao na teknolojia ya mawasiliano, watu wengi hasa wale wenye kupenda vitu saresare wameweza kuwa pamoja bil kukutana kijiografia ila kwa mawasiliano ya kiumeme. Katka ukurasa huu tunaangalia jamii katika njia za kiothodoxi, jamii ni watu wanaoishi, wenye mipaka ya kijiografia, wanahusiana, kwa mfano katika jamii zinazoanznia katika ujirani katika miji mpaka katika vijiji. Angalia Makazi. Jamii sio tu mkusanyiko wa watu. Ni watu ambao ni sehemu ya tamduni, ikishirikisha mawasiliano kati ya watu. vipimo vyake sita vinahusisha, uchumi, siasa, teknolojia, mawasiliano, thamani, imani na fikra. Haipasishwi kwa njia ya kibaiolojia ila kwa kusoma. kama vile mti au kitu kingine chochote chenye uhai, kinatokana na chembechembe ndogo, hivyohivyo katika jamii, binadamu huja na kwenda kwa kufa na kuzaliwa ila inaendelea kukua na kuongezeka. kamwe si sawia. Jamii inachukuliwa kama kitu kimoja kizima zaidi ya sehemu sehemu zinazoifanya jamii. Jamii ni nini? Angalia: Sifa za jamii. বাংলা : জনগোষ্ঠি, Bahasa Indonesia: komunitas masyarakat, Català: comunitat, Deutsch: gemeinde, Ελληνικά: κοινότητα, English: community, Español: comunidad, Euskera: komunitatea, Filipino/Tagalog: komunidad, Français: communauté, Galego: comunidade, Italiano: comunità, 日本語: 共同体, Kiswahili: jamii, Malay: komuniti, Português: comunidade, Pyccкий: cooобщество, Română: comunitate, Af Soomaali: bulsho, Tiên Việt: cộng đồng, Türkçe: toplum, 中文 (Zhōngwén): 社区Jiji Makazi ya binadamu ( makazi) Ina sifa zifuatazo (1) watu wengi, (2)idadi kubwa ya watu na (3)tabia mbalimbali mfano, mgawanyo wa kazi, utofauti). Hakuna kipimo chochote kwa vitu hivi vitatu, kwahiyo mitaa, kata, na vijijiviko upande mwingine na majiji makubwa yako upande mwingine, na katikati ni miji na mikoa. These three variables affect methods of community strengthening. (Angalia pia Vijiji). Català: ciutat, Deutsch: stadt, Ελληνικά: πολη, English: city, Español: ciudad, Français: ville, Italiano: citta, Kiswahili: jiji, Português: cidade, 中文 (Zhōngwén): 市──»«──Kama umeona neno linalohusiana na uwezeshaji jamii na unataka kujadili, tafadhali tuandikie.kama utanakili maandishi kutoka kwenye mtandao huu, tafadhali mnukuu mwandishi au waandishi |
Ukurasa wa nyumbani |