Tafsiri:
Akan |
Maneno muhimu Z, ya maendeleo ya jamii, uwezeshaji na ushirikiMwandishi Phil BartleMtafsire: Alpha Mukama, Abdulrazzaq Adam OtienoZalisha Kitu kinapotengenezwa, kimezalishwa Kizalisha umeme (genereta) kinachukua aina nyingine ya nguvu na kuigeuza kuwa nguzu za ki umeme. Kizalisha umeme (genereta) kinachukua aina nyingine ya nguvu na kuigeuza kuwa nguzu za ki umeme. Nyia iliyomaarufu ni kuongeza thamani kwenye kitu ambacho tayari kina thamani. kwenye kitu ambacho tayari kina thamani. pesa i napowekwa, income( mali) sio lazima izalishwe. Català: generar, Deutsch: Schaffen, Ελληνικά: παραγω, English: generate, Español: generar, Français: produire/créer, Italiano: generare, Kiswahili: zalisha, Português: gere, crie, gerar, Română: producere, Türkçe: oluşturmak, 中文 (Zhōngwén): 产生──»«──Kama umeona neno linalohusiana na uwezeshaji jamii na unataka kujadili, tafadhali tuandikie.kama utanakili maandishi kutoka kwenye mtandao huu, tafadhali mnukuu mwandishi au waandishi |
Ukurasa wa nyumbani |