Tafsiri:
Akan |
Maneno muhimu P, ya maendeleo ya jamii, uwezeshaji na ushirikiMwandishi Phil BartleMtafsire: Alpha Mukama, Abdulrazzaq Adam OtienoPingamizi Jambo moja la msingi sana katika kujifunza ni kwamba, tunapoona kitu hakiendi sawa huwa tunatoa pingamizi, kutoa pingamizi mara nyingi hakulirekebishi jambo hilo badala yake inaliweka jambo kuwa baya zaidi. Kwanini? Kwa sababu binadamu anajisikia kama amevamiwa endapo mtu anatoa pinagmizi. Pingamizi linapunguza kujiamini kwetu na ushupavu wetu. Tunaanza kujitetea badala ya kurekebisha jambo lenyewe. Tunapoiwezesha jamii, kuongoza watendaji au wafanya kazi, tunatakiwa kutegemea kuwa watafanya makosa, na tuwe tayari kujiandaa na makosa hayo katika njia mbazo zitasaidia kufikia malengo yetu. Kuonyesha hasira zetu, kutoa pingamizi kwa mtu aliyetenda jambo hilo hakuta kuw ana maana yoyote zaidi ya kutengeneza chuki na kulipia hasara kubwa kw amtu aliyetenda kosa hilo.Angalia kwenye maneno muhimu: Makosa, Hasira, na Sandwich na tatuta namna ya kurekebisha kosa hilo bila kuonyesha pingamizi. Angalia: Sifa. বাংলা : সমালোচনা, Bahasa Indonesia: kritikan, Català: crítica, Deutsch: kritik, Ελληνικά: κριτική, English: criticism, Español: críticas, Euskera: kritika, Filipino/Tagalog: kritisismo o pamumuna, Français: critique, Galego: crítica, Italiano: critica, 日本語: 批判, Kiswahili: pingamizi, Malay: kritikan, Português: crítica, Română: critica, Tiên Việt: phê bình, Türkçe: eleştiri, 中文 (Zhōngwén): 批评Pingamizi pinganizi ni aina yoyote ya izuizi katika kufikia malengo u liyojiwekea. mpangilio mzuri wa mradi unavitambua vipingamizi na kutengeneza namna ya kuviepuka kwa kutumia rasilimali zilizopo. Català: restricció, Deutsch: zwang, Ελληνικά: περιορισμοσ, English: constraint, Español: obstáculo, Français: contrainte, Italiano: restrizione, Kiswahili: pinganizi, Português: constrangimento, 中文 (Zhōngwén): 限制──»«──Kama umeona neno linalohusiana na uwezeshaji jamii na unataka kujadili, tafadhali tuandikie.kama utanakili maandishi kutoka kwenye mtandao huu, tafadhali mnukuu mwandishi au waandishi |
Ukurasa wa nyumbani |