Ukurasa wa nyumbani
 Maneno muhimu


Tafsiri:

Akan
العربية /   أ
العربية /   ع
Bahasa Indonesia
Български език
Català
Deutsch
Ελληνικά
English
Español
Euskara
Ewe
Filipino/Tagalog
Français
Galego
हिन्दी  / ऍ
हिन्दी  / अ
हिन्दी  / ए
हिन्दी  / आ
Italiano
日本語
Kiswahili
بهاس ملايو / Bahasa Melayu
Nederlands
Polski / a
Polski / ą
Português
Română
Русский
Srpski
Af Soomaali
Tiếng Việt
Türkçe
اردو /  ﺎ
اردو /  أ
Yoruba

                          

Kurasa nyingine:
Maneno muhimu
Visomo

Sociology:
Home Page
Lecture Notes
Discussions

Utilities:
Ramani ya tovuti
Wasiliana nasi
Nyaraka za matumizi
Tovuti zinazohusiana


Viungo vya maneno yanayoanza na herufi :

  A   B   Ch   D   E   F   G   H   I   J   K   L   M   N   O   P   R   S   T   U   V   W   Y   Z


Maneno muhimu that begin with the letter A

Mwandishi Phil Bartle

Mtafsire: Alpha Mukama, Abdulrazzaq Adam Otieno


ACEPHALOUS

Bila kichwa (ceph = Kichwa). Enzi za makundi madogo madogo ya wafugaji na waokotaji, mifumo ya kisiasa ilikuwa michache, ni kama wote walikuwa sawa. Hakukuwa na wafalme au machifu, wasomi wanaita hayo makundi yalikuwa asefalus yaani bila kichwa.

Katika jamii za kisasa, kuna makundi tofauti tofauti na pia mara nyingi wanabadilisha makundi ya marafiki. ni katika jamii ndogo au ambazo hazijajizatiti sawasawa ndio unaweza kukuta mfumo usio na kichwa.

 Català: acèfal,    Deutsch: azephal,    Ελληνικά: ακεφαλοσ,    English: acephalous,    Español: acéfalo,    Français: acéphale,    Galego: acéfalo,    हिन्दी : बेसिर,    Italiano: acefalo,    Kiswahili: acephalous,    日本語: 指導者の欠如,    Português: acéfalo,    Română: acefa,    Pyccкий: ацефальное,    Türkçe: başsız,    中文 : 没有领导者,  


 

ANTHROPOMORPHISE

Ku "anthropomorphise" ni kukipa ubinadamu kitu ambacho si binadamu.

Hili ni tatizo katika baiologia, kwa mfano watu wanaongelea bata au panda kuwa na familia" (kama binadamu), wakati sivyo.

Katika soshiologia na uwezeshaji, tatizo linahusishwa katika mawazo potofu kama kuifanya jamii kuwa na sifa za kibinadamu. 

Jamii sio binadamu

 Català: antropomorfisme,    Deutsch: Anthropomorphose,    Ελληνικά: ανθρωπομορφοποιω,    English: anthropomorphise,    Español: anthropomorphise,    Français: anthropomorphiser,    Galego: antropomorfo,    हिन्दी : मानव जैसे मानो,    Italiano: antropomorfizzare,    日本語: 擬人化,    Kiswahili: anthropomorphise,    Português: antropomorfisar,    Română: antropomorfismul,    Pyccкий: антропоморфизация,    Türkçe: antropomorfizim,    中文 : 人格化,  


 

ATHARI

Neno "athari," nimatokeo juu ya kitu, yaliyosababishwa na vitu tofauti tofauti.  "Ukila sana utaathirika kwa kupata kiungulia."

Neno "athari," kama nomino, inaendana na neno "muathiriko" namna fulani ya hisia.  "nina hisia kali juu yake," maana yake ninampenda sana.

Jinsi utakavyokwenda kwenye jamii kama mwezeshaji kuna athiri jinsi jamii itakavyoitikia.

usichanganye neno "athiri" na neno "madhara," ambalo linahusiana na athari.

 Català: afectar,    Deutsch: affekt,    Ελληνικά: επιδραση,    English: affect,    Español: afectar,    Français: affecter,    Galego: afectar,    हिन्दी : प्रभाव डालना" या "प्रभावित करना,    Italiano: influire,    日本語: 影響,    Kiswahili: atheri,    Português: afectar/afecto,    Română: a afecta,    Pyccкий: влияние,    Türkçe: etki,    中文 : 影响,  


──»«──
Kama umeona neno linalohusiana na uwezeshaji jamii na unataka kujadili, tafadhali tuandikie.
kama utanakili maandishi kutoka kwenye mtandao huu, tafadhali mnukuu mwandishi au waandishi
na ufanye marejesho www.cec.vcn.bc.ca
This site is hosted by the Vancouver Community Network (VCN)

© Hakimiliki 1967, 1987, 2007 Phil Bartle
Ukurasa umesanifiwa na Lourdes Sada
──»«──
Imehakikiwa: 2015.10.13


 Ukurasa wa nyumbani