Tafsiri:
Akan |
Maneno muhimu T, ya maendeleo ya jamii, uwezeshaji na ushirikiMwandishi Phil BartleMtafsire: Alpha Mukama, Abdulrazzaq Adam OtienoTamaduni Ni zaidi ya nyimbo na ngoma, ni sayansni ya jamii inayomaanisha namna nzima ya kuishi na kujifunza mitazamo na tabia zinaziounda jamii husika. katika nyanja zote sita kiteknolojia, kiuchumi, kisiasa, kimchangamano, kidini na ki ulimwengu. Kiungo muhimu cha tamaduni nialama "tamaduni" si jambo la kigenetiki, inapasishwa kwa kutumia alama. na wakati mwingine inaitwa " superorganic" sababu inatengenezwa na miundo ambayo inapasisha miundo ya kibaiolojia na kutengeneza tamaduni. বাংলা : ংস্কৃতি, Bahasa Indonesia: budaya, Català: cultura, Deutsch: kultur, Ελληνικά: πολιτισμοσ, English: culture, Español: cultura, Euskera: kultura, Ewe: asa, Filipino/Tagalog: kultura, Français: culture, Galego: cultura, Italiano: cultura, 日本語: 文化, Kiswahili: tamaduni, Malay: budaya, Português: cultura, Română: cultura, Af Soomaali: dhaqanka, Tiên Việt: văn hoá, Türkçe: kültür, 中文 (Zhōngwén): 人类文化Tatufa ushauri Shirika la misaada linapoomba ushauri kutoka kwa viongozi wa jamii au wawakilishi huwa mara nyingi wanauliza kama jamii inahitaji mradi. najibu mara nyingi huwa ni, "ndio" Shirika/mwakilishi anatoa ripoti kuwa kulikuwa na ushirikishwaji wa jamii. hiyo si sahihi Kilichotendeka pale ni ushauri tu, sio ushirikishwaji wa jamii katika kufany amaamuzi na kupanga juu ya mradi husika. (tofauti na matakwa ya shirika husika). বাংলা : পরামর্শ গ্রহন, Bahasa Indonesia: konsultasi, Català: consulta, Deutsch: beraten, Ελληνικά: συμβουλευτικη, English: consult, Español: consultar, Euskera: aholkatu, Filipino/Tagalog: konsulta, Français: consulter, Galego: consulta, Italiano: consultazione, Kiswahili: tatufa ushauri, Malay: berunding, Português: consulte, Română: consultare, Tiên Việt: tham khảo, Türkçe: danışmak, 中文 (Zhōngwén): 咨询意见Thamani inayokubalika na jamii Thamani inayokubalika kipimo cha jamii ni muundo wa mawazo, wakati mwingine ni utata, kutokuwa makini au kujichanganya, kwa mawazo ya watu kuhusu zuri au baya, uzuri au ubaya na nini ni sahihi, nini si sahihi, katika kuelezea vitendo vyao. kipimo cha utamaduni. Kipimo = kielelezo. angalia " Utamaduni." kwa kujifunza; haupasishwi toka kizazi mpaka kizazi kwa kurithi. Itikadi. Thamani. Angalia vipimo. Català: dimensió ideològica, Deutsch: Ästhetische-Werte-Dimension der Gemeinde, Ideologie, Ελληνικά: αισθητικεσ-αξιεσ στη διασταση, English: aesthetic values dimension, ideological dimension, Español: dimensión ideológica, Français: dimension d'esthétique, Galego: dimensión ideolóxica, हिन्दी : सौंदर्य मूल्य - समुदाय के आयाम, Italiano: dimensione estetica e dei valori, 日本語: コミュニティにおける美学的価値の規模, Kiswahili: thamani inayokubalika, Português: valores, Română: Dimensiunea valorilor estetice, Pyccкий: Ценностно-эстетическое измерение, Türkçe: toplumdaki estetik değerlerin boyutu, 中文 : 社区上的「审美价值观」层面Thamani za msingi Thamani a msingi ni moja ya elementi kumi na sita za nguvu, ushupavu na uwezo wa jamii au ushirika. Angalia: Elementi za nguvu ya jamii. Hii ni uwezo wa jamii kushikiana katika uthamani, hasa kuwa wakokatika jamii inayowajali na kutimiza matakwa ya wanajamii wake. Jinsi wanajamii wanavyo shirikiana, au kuelewana na kuvumiliana katika thamani zao na mwelekeo wao ndio jamii yao itakavyokuwa imara. Ubaguzi, uchaguzi, ushupavu vinaizorotesha jamii. Unapoisisimua jamii kujikusanya na kufanya jambo, mwezeshaji unahitaji kuwa macho na kazi ya tamaduuni zao katika kuwawezesha wanajamii husika. Català: valors comuns, Deutsch: gemeinsame werte, Ελληνικά: κοινεσ αξιεσ, English: common values, Español: valores comunes, Français: valeurs communes, Italiano: valori comuni, Kiswahili: Thamani na msingi, Português: valores comuns, 中文 (Zhōngwén): 共同价值观Tiba ya jamii Hili neno linatumika katika kuelezea kazi za wanasayansi wa soshiolojia katika kuleta mabadiliko Mwezeshaji anajiingiza katika tiba ya jamii Angalia Soshiolojia itendayo kazi. Català: sociologia clínica, Deutsch: klinische soziologie, Ελληνικά: κλινικη κοινωνιολογια, English: clinical sociology, Español: sociología clínica, Français: la sociologie clinique, Italiano: sociologia clinica, Kiswahili: tiba ya jamii, Português: sociologia clínica, Pyccкий: Клиническая Социология, 中文 (Zhōngwén): 临床社会学──»«──Kama umeona neno linalohusiana na uwezeshaji jamii na unataka kujadili, tafadhali tuandikie.kama utanakili maandishi kutoka kwenye mtandao huu, tafadhali mnukuu mwandishi au waandishi |
Ukurasa wa nyumbani |