Tafsiri:
|
Links to words that begin with:
MANENO MUHIMU KWENYE KISOMO CHA "KUDHIBITI MUINGILIANO"
metafsiriwa na Lillian Odembo Naka
Udhibiti:
Neno "Udhibiti" ni muhimu kwa usaidizi wa kimaendeleo. (Neno lenyewe halipatikani kwenye kamusi nyingi za kiingereza). Linaashiria "uwezo" wa kitu "kudhibitiwa" (kuendelezwa) baada ya kuondolewa kwa msaada kutoka nje. Kwa jamii yenye mradi wa kusambaza maji: kurekebisha,kusafisha na kutumia pampu baada ya ujenzi ndiyo haja yao kubwa.
Kwa Mfadhili,ni kuendelea kwa mradi baada ya yeye kujitoa. kwako wewe mchochezi wa jamii, haja yako kuu ni kuendelea kwa shughuli za kuiboresha jamii utakapoondoka. Kwa wanamazingira na wanaekologia, haja yao kuu ni kwamba kitendo kidhibitiwe (kwa mfano; kibiologia) na mazingira na kwamba rasilimali zisizoweza kufufuliwa hazitatumiwa kwisha.
──»«──
Kama umeona neno linalohusiana na uwezeshaji jamii na unataka kujadili, tafadhali
tuandikie.
kama utanakili maandishi kutoka kwenye mtandao huu, tafadhali mnukuu mwandishi au waandishi na ufanye marejesho
www.cec.vcn.bc.ca
This site is hosted by the Vancouver Community Network
(VCN)
© Hakimiliki 1967, 1987, 2007 Phil Bartle Ukurasa umesanifiwa na Lourdes Sada CSS conversion by Wai King Lung Matthew
──»«──Imehakikiwa:
2014.08.16
|